Time to Give up Music Concert

Gospel News avatar   
Gospel News
Mto to Mungu, Hujambo? Usypange kukosa tamasha hili la pekee... Najo shower in tujojiane on Munga to tuica and barracks zaka

Mtoto wa Mungu, hujambo?

Usipange kukosa tamasha hili la pekee… Njoo tusifu na tuhojiane na Mungu tukidai baraka zake. 

Nakukaribisha katika Tamasha la uimbaji lililo andaliwa na Samwel Mwazini akishirikiana na Springs of life.

Tamasha hili litafanyika ijumaa ya Tarehe 27 December pale Mbezi Garden Hotel.

New Jerusalem Brothers watakuwepo kukubariki. 
Usipange kukosa. Kwa mawasiliano zaidi: 0757447796

 

Unaweza kununua ticket yako kwa 
MPESA LIPA NAMBA: 5485564
CRDB: 0133899884300
JINA: springs of life

TICKETS:
VIP 50000
Reg 20000

#springsoflife
#SamwelMwazini

No comments found